Mkoa wa Tabora umepokea Bilioni tisa kutoka Serikalini kwa ajili ya kukamilisha maboma ya Shule yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi, RC wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa maelekezo kwa Viongozi kupiga picha majengo hayo kabla fedha hizo hazijaanza kutumika kwa lengo la kuondoa urasimu.
“Usiruhusu kumazika kwa jengo bila kupiga picha halafu iweke kwenye file nikija nikakuta picha hazipo nitajua hapa tumeibiwa, huku kwenye Halmashauri kuna mchwa wanatafuna unaweza ukashangaa jengo ni kubwa lakini linaanguka”RC Mwanri
KILIO CHA DC GONDWE NA WABUNGE WAKE CHAJIBIWA NA KATIBU WA JAFO