Leo May 30, 2019 Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. Maulid Madeni ameamuru kukamatwa kwa Mfanyabiashara Fredy kwa madai ya kujenga vibanda bila kibali pamoja na kushindwa kulipa kodi ya Halmashauri pamoja na kuhamasisha maandamano Ofisini kwake.