Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Tutaunda UKAWA na Rais Magufuli, huo msimamo wetu” Mrema (+video)

on

Leo June 20, 2019 Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Mrema amesema Chama chao kipo kwa ajili ya kumsaidia Rais John Magufuli ambapo msimamo wao ni kuunda UKAWA wao na Rais Magufuli.

“TUTAUNDA UKAWA NA RAIS MAGUFULI, HUO MSIMAMO WETU” AUGUSTINO MREMA

Soma na hizi

Tupia Comments