Kama uko ndani ya Dar najua wewe ni shuhuda pia wa kile ambacho umekutana nacho kwa siku tatu mfululizo, mvua inanyesha na kukatika tangu May 5 2015.

Tayari kuna watu wetu ambao wamekumbwa na mafuriko kutokana na mvua, nimepita maeneo ya Jangwani, Mchikichini na Kigogo.. Hizi ni baadhi ya picha hali ilivyo maeneo hayo.

#Daressalaam#May72015pic.twitter.com/bKqSI7cb35
— millardayo.com (@millardayo) May 7, 2015
Kama uko Dar es salaam na unataka kwenda town au kutoka nyumbani lakini sio lazima sana ni bora ubaki tu mtu wangu, foleni zipo nyingi
— millardayo.com (@millardayo) May 7, 2015
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.