Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri aliyeambatana na Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Tabora kukabidhi misaada mbalimbali ikiwemo chakula iliyokusanywa kutoka kwa wadau mbalimbali waliojitokeza kwa zaidi ya Kaya 700 zilizopoteza makazi katika Kata za Loya na Kizengi baada ya kuharibiwa na mvua.
WAZIRI BASHUNGWA AIPA WIKI MOJA KAMPUNI YA BIMA ISHUGHULIKIE KIWANDA CHA BILIONI 1 KILICHOTEKETEA