Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Mama, wanaye wanne wamefariki dunia ktk kijiji cha Nyamilanda, Muleba Kagera baada ya kula ugali unaosadikiwa kuwa na sumu pic.twitter.com/HZ1hioQF9c
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#MWANANCHI Mahakama Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela Erick Kasila baada ya kumlawiti mwanaume kwa madai alimfumania na mke wake. pic.twitter.com/8c9QFJeR6D
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#MWANANCHI Uongozi DUCE umesema hata kama Waziri wa Elimu asingechukua hatua kwa wanafunzi waliomshambulia mwanafunzi Mbeya, ungewafukuza pic.twitter.com/otrO0MIJCU
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#MWANANCHI Matumaini ya Said Ally, aliyetobolewa macho kuona tena yamefifia baada ya ripoti ya madaktari kueleza yameathirika vibaya pic.twitter.com/duQxPJvsik
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#MWANANCHI Ziara ya JPM kwa Bakhresa yawakosha wafanyabishara wa sekta binafsi nchini, waeleza kuwa imewahamasisha kujituma zaidi pic.twitter.com/xUUchuMh01
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#NIPASHE Mwanafunzi aliyeshambuliwa na walimu asema amefarijika kutokana na hatua iliyochukuliwa na serikali dhidi ya walimu pic.twitter.com/dBGrvlwN8c
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#NIPASHE RC Makonda amwaga machozi mbele ya familia ya Said Ally, wakati akisoma ripoti ya madaktari kuwa hataona tena maishani mwake pic.twitter.com/TbZxdPFMtz
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#NIPASHE Utendaji wa JPM unaonekana kuwatia kiwewe watu wa karibu baada ya kutangaza kuwa ni mwepesi kutumbua wazembe bila kujali ukaribu pic.twitter.com/PzLUXu3ei2
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#CHAMPIONI Tambwe akiri kuwa alifunga bao baada ya kuuweka vizuri mpira kwa mkono lakini ametamba kuwa atafunga tena atakapokutana na Simba pic.twitter.com/bEEc6ATnxa
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
#MWANANCHI Baadhi ya wakazi kivule Magole A, Wilaya ya Ilala DSM wadaiwa kuzikimbia nyumba zao kutokana na kukithiri kwa uhalifu pic.twitter.com/AnjBIbiSjo
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 8 2016? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI?