Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Wabunge sitta upinzani wampinga Spika baada ya kukosoa hatua ya CUF kuwasimamisha uanachama wabunge wawili pic.twitter.com/JHljTaSsfs
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#NIPASHE Kati ya bil 3.85 zilizotakiwa kurudishwa na vyuo 29 kwa bodi ya mikopo, bil moja zimerudishwa tayari pic.twitter.com/ZwG0uLppFV
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#NIPASHE Thamani ya sh 100 ktk kununua bidhaa na huduma yatajwa kushuka kwa sh 3.17 kati ya Dec 2015 na August 2016 pic.twitter.com/dBXuygV6Pu
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#MWANANCHI Prof. Lipumba aendelea kumtaja Lowassa kuwa ndiye sababu ya mvurugano unaoikabili CUF pic.twitter.com/vkgIRTMnwa
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#MWANANCHI Polisi wamhoji Meya K'ndoni Jacob madai wamepata taarifa kwenye mkutano wake na waandishi atamkashifu JPM pic.twitter.com/DOmj5CeoQN

#HabariLEO Madaktari walia na ajali za bodaboda, wastani wa mil mbili zinatumika kumtibu majeruhi mmoja wa pikipiki pic.twitter.com/3RsCDqF45G

#MWANANCHI Mganga mkuu kituo cha afya Katunguru Sengerema azika maiti kwa siri, alidanganya kuwa mgonjwa ametoroka pic.twitter.com/DF87RnbASK
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#MWANANCHI Polisi wamhoji Meya K'ndoni Jacob madai wamepata taarifa kwenye mkutano wake na waandishi atamkashifu JPM pic.twitter.com/DOmj5CeoQN
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#HabariLEO Madaktari walia na ajali za bodaboda, wastani wa mil mbili zinatumika kumtibu majeruhi mmoja wa pikipiki pic.twitter.com/3RsCDqF45G
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
#MTANZANIA Meya K'ndoni, Boniface Jacob aituhumu Serikali kuzuia mradi wa kutengeneza mbolea kwa kutumia takataka pic.twitter.com/6kHYYsBoEf
— millardayo (@millardayo) September 9, 2016
ULIKOSA MAONI YA PROF.LIPUMBA KUHUSU KUPANDA KWA DENI LA TAIFA? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI