November 4 2016 Rais Magufuli alikutana na Waandishi wa habari IKULU, ni baada ya kuwaalika kwenye kutimiza kwake mwaka mmoja toka aingie madarakani na kwenye hii video (PART 1) anajibu maswali waliyomuuliza, tazama hii video hapa chini
VIDEO: Mambo 6 ya mbunge Godluck Mlinga ‘nilisema mwanzoni tukikubali mipango ya Mh. Mpango tutauza hadi IKULU’