Mix

Rais Magufuli alivyomsimamisha kazi boss wa ‘NIDA’ na wengine wanne…(+AUDIO)

on

Jan 25 16 Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)  Dickson Maimu, hapa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatolea ufafanuzi mzima wa hatua hiyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments