Pichaz 19 za Waziri Mkuu alivyozungumza na viongozi wa vyama vya michezo na kukagua uwanja wa Taifa
Share
2 Min Read
SHARE
February 17 waziri mkuu wa Tanzania wa Serikali ya awamu ya tano Mh Kassim Majaliwa aliamua kukutana na viongozi na wadau mbalimbali wa michezo Tanzania, katika ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni kocha mwenye leseni daraja la B kutoka shirikisho la soka barani Afrika (CAF) amekutana na kuzungumza na viongozi wa michezo Tanzania, pamoja na kukagua uwanja wa Taifa.
Rais mstaafu wa TFF na mjumbe wa CAF Leodger Tenga akifuatilia kwa makini mkutanoMwenyekiti wa zamani wa Baraza la michezo Tanzania Kanali Iddi KipinguKushoto Rais wa TFF Jamal Malinzi akiwa na Katibu mkuu wake Selestine MwesigwaKushoto ni Filbert Bayi akijadili jambo na mdau wa michezoKulia ni mkurugenzi wa zamani wa michezo wa TFF Sunday Kayuni na katibu mkuu wa TFF Selesine Mwesigwa wakijadili jamboMsafara wa waziri mkuu ukiwasili Taifa
Waziri wa michezo, vijana, sanaa na burudani Nape Nnauye akimkaribisha waziri mkuu MajaliwaWaziri mkuu wa na katibu mkuu wa wizara ya habari, vijana, utamaduni wasanii na michezo akionesha ramani ya muwekezaji, baada ya kuona ramani ya Taifa
Rais wa TFF Jamal MalinziMwanariadha wa zamani na kiongozi wa riadha Tanzania Filbert Bayi akiwasilisha maombi yake mbele ya waziri mkuu.
Unataka kutumiwaMSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGOandika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyokwenye Twitter,FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE