Kama mpango wa nauli za mabasi yaendayo haraka Dar utakua ni kulipia nauli kwa safari moja basi kutakua kuna tofauti kubwa kati ya mfumo huu wa kulipia nauli Dar na nchi nyingine ambazo zina mfumo wa mabasi kama ya Dar, ambazo ni pamoja, Brazil a Poland, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama na kujua
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.