September 8 2016 mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja umeendelea tena bungeni Dodoma wakati kazi iliyoanza asubuhi ilikuwa ni maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wabunge kwenda kwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa ambapo moja ya wabunge waliopata nafasi ya kuuliza ni pamoja na mbunge wa Hai Freeman Mbowe.
Mbowe alitaka kujua sababu za mizingo ya bandarini kukwama na kusababaisha uchumi wa nchi kuanguka…>>>’Kamati ya bunge ilikwenda bandarini, watu wanalalamika uchumi umeanguka sasa serikali mnataka tafiti gani zaidi?‘ –Freeman Mbowe
Waziri Mkuu Majaliwa alisimama na kutoa ufafanuzi…>>>’Suala la kushuka kwa usafirishaji wa mizigo kwa njia ya meli imeshuka duniani kote kutokana na kuporomoka kwa bei ya gesi na mafuta, mkakati wetu ni pamoja na kujenga reli ili kusaidia usafirishaji wa mizigo‘ –Waziri mkuu Majaliwa
Unaweza kuendelea kusikiliza kwenye hii video hapa chini..
ULIMIS UKWELI KUHUSU TAARIFA ZA KUVULIWA UBUNGE MBUNGE MAGDALENA SAKAYA