May 21 2017 Tanzania iliwania nafasi ya kuingia katika historia mpya ya soka la Afrika nchini Gabon kwa kucheza mchezo wake wa mwisho kwenye kundi B vs Niger katika michuano ya AFCON ya vijana wenye umri chini ya miaka 17.
Katika mchezo dhidi ya Niger na Tanzania imeondolewa katika michuano hiyo kwa kufungwa goli 1-0 baada baada ya kufungana kwa point na magoli ya kufunga na Nigerhivyo Kanuni ya head to head ikaiondoa Tanzania.
ULIPITWA? Hii video hapa chini ina maelezo yote ya Alfred Lucas kuhusu Issa Makamba wa Serengeti Boys kurudishwa Tanzania