Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo ameitaka Serikali kuangalia upya baadhi ya mitaala yake ya elimu iliyoiweka ambayo hailandani na uhalisia wa maisha ya Mtanzania.