Klabu ya Manchester United imefanya usajili wake wa kwanza kwa mwaka 2016 kwa kumpa mkataba kiungo Anthony Caceres kutoka klabu ya Central Coast Mariners iliyopo Australia ikiwa ni mkataba wa siri.
Uongozi wa Klabu ya Australia umetangaza leo asubuhi kuwa wamekubaliana kiasi cha pesa kutoka klabu ya Man City ili kumruhusu mchezaji wao mwenye miaka 23.
Kocha mkuu wa Mariners Tony Walmsley alimsajili Caceres mwaka 2011 na kusema amefurahishwa na mchezaji huyo kupata timu kubwa kama Man City kwa ajili ya kuinua kipaji chake.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.