Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Onyo la Waziri Kangi Lugola kwa Askari wanaoweka watu rumande

on

September 13, 2018 Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola akiwa bungeni Dodoma ametoa onyo kwa viongozi wote wa Polisi mkoa na Wilaya pamoja na Askari Polisi watakaobainika kuwaweka ndani wananchi kwa makosa yasiyostahili na badala yake atawachukulia hatua kali viongozi na Polisi hao.

Kimasai zaidi Musukuma “Namjua Lowassa kuliko navyojijua, mnakalia peoples”

Soma na hizi

Tupia Comments