Liverpool wakiwa Stamford Bridge ambapo ndio nyumbani kwa Chelsea, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0, magoli hayo yakiwekwa wavuni na Sadio Mane dakika ya 50 na 54.
Baada ya ushindi huo muhimu Mane ambaye alimaliza mchezo kwa kupiga mashuti matatu tu yaliolenga lango mawili yakiingia nyavuni na kumfanya awe mchezaji bora wa mechi.