Top Stories

Mzee kajichinja na kisu shingoni wakigombania michango ya harusi na wake zake (+video)

on

Leo April 16, 2019 Lazaro Kioroli mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha amejichinja na kisu shingoni hadi kufariki kutokana na mgogoro wa kifamilia kati yake na Wake zake wawili waliokuwa wakigombea fedha za michango ya harusi.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Jonathan Shanna amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha.

MTI WA ‘MAAJABU’ ULIOUA PAKA WA MGANGA NA KUMPIGA SHOTI MCHINA WAANGUSHWA NA RADI

Soma na hizi

Tupia Comments