Mbunifu wa Mavazi ya kiume,Martin Kadinda usiku wa Des 7 amezindua collection mpya ya viatu vya kiume THE ORIGINALS .Viatu hivyo vilizinduliwa kwenye onesho kubwa la mavazi linalofanyika mara moja kwa Mwaka Swahili Fashion Week katika hoteli ya Sea Cliff Dar es Salaam.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook