Ni headline kutoka kwa Mbunge wa Mbozi kwa tiketi ya CHADEMA Pascal Haonga ambaye alikubali kuukaa kwenye Exclusive Interview na Ayo TV na kueleza kwamba hana mpango wa kuhama chama chake na endapo ikitokea akahama siku yoyote anawaruhusu Wananchi wachome moto nyumba yake.
Hang amesema…>>>“Mimi Pascal Haonga bila kumumunya maneno, Wananchi wangu wakiona siku nimehama CHADEMA na kwenda CCM nawaruhusu wakachome nyumba yangu. Sipo tayari kuwasaliti wananchi wangu ”
Video iliyorekodi mazungumzo ya Kingunge na Maalim Seif leo akiwa kitandani