Leo September 30, 2020 Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imetoa taarifa juu ya kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wanne kwa tuhuma za mauaji ya Emmanuel Mlelwa ambaye mwili wake ulikutwa eneo la Bwawa la Kibena Estate.