AyoTV

VIDEO: “Hii ni kama vita ya Uganda, tujiandae…” – Hussein Bashe

on

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuwasilisha mapendekezo yao katika muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali (Namba 4) wa mwaka 2017 yaani (The written laws Miscellaneous amendments Act No 4 of 2017) ambapo ametoa ushauri kwa Serikali kulinda maslahi ya Taifa…

VIDEO: Makubwa yaliyotajwa na Waziri wa Sheria kuhusu muswada mpya 

Soma na hizi

Tupia Comments