AyoTV na millardayo.com imeshuhudia harakazi za Madereva wa magari walivyokua wakihangaika kuyasukuma magari yaliyokwama topeni katika Wilaya ya Kasulu Mkoani wa Kigoma na hii inasababishwa mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha utelezi hivyo kupelekea hadi magari mengine kulala njiani.
TUKIO LA UGAIDI KENYA: RAIS MAGUFULI NA KENYATTA WAMEZUNGUMZA