Habari za Mastaa

Alikiba kafiwa na Baba yake , mtu wa karibu kazungumza, Chanzo cha kifo?

on

Alfajiri ya leo January 17,2019 zimeripotiwa taarifa za msiba wa Baba mzazi wa msanii Alikiba pamoja na Abdukiba anayeitwa mzee Saleh Kiba aliyefariki katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa hizi zimethibitishwa na mmoja wa mwanafamilia ya Alikiba na kusema kwa sasa msiba upo nyumbani kwao na atazikwa leo majira ya saa 10 za jioni.

>>>“Ndio amefariki na msiba upo nyumbani kwa Mama Alikiba Kariako, atazikwa leo saa kumi, kuhusu ugonjwa au chanzo cha kifo hayo ni mambo ya kifamilia siwezi kuyazungumzia”– Aidan

VIDEO: Mmiliki wa Samaki Samaki aweka wazi juu ya kitambaa cheusi jichoni kwake “nilikuwa na Kansa”

Soma na hizi

Tupia Comments