Ad

Top Stories

MWISHO WA MKASA WA ASIA: Ilikuwa ngumu kukubali kukatwa miguu, kutoa kizazi (+video)

on

Ni sehemu ya mwisho ya stori ya Binti Asia Patrick alizaliwa akiwa na viungo vyake vyote vya mwili lakini baada ya kupata ujauzito na kutoka ikawa sababu ya kukatwa miguu yake yote, vidole tisa vya mikono yake pamoja na kutolewa kizazi.

AyoTV na millardayo.com imezungumza na Asia Patrick mwenye miaka 18, ameeleza aliyoyapitia hadi kufikia kukatwa miguu yake na kutolewa kizazi.

PART 2 MAUMIVU & VILIO: UCHUNGU WA KUOZA KIZAZI, UMASKINI, KULAZWA

PART 1: INASIKITISHA: BINTI ALIEKATWA MIGUU YOTE, VIDOLE 9 NA KUTOLEWA KIZAZI

Soma na hizi

Tupia Comments