Headlines za kutokea bungeni dodoma bado zinazidi kukufikia kwa wepesi zaidi kila kukicha, najua shauku ya wengi ni kuisubiria bajeti kuu ya mwaka 2016/2017 kusomwa hapo kesho June 8 2016. Lakini bado kuna mengi ya kuyajua yanayoendelea hivi sasa ikiwa ni pamoja na hii ya Waziri Harrison Mwakyembe.
ULIIKOSA HII? WAZIRI NAPE KAITOA HII YA WACHEZAJI KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU MICHEZONI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE