Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi ameamuru kukamatwa tena kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Mlimwa C Anitha Kimaku anayedaiwa kumfanyia vitendo vya kikatili binti mwenye umri wa miaka 15 pamoja na kumfungia Mtoto wa miezi sita kwenye kabati, lakini pia ameagiza kukamatwa kwa kijana anayefahamika kwa jina la Salum Waziri anayedaiwa kumpa ujauzito mtoto huyo.
DC Katambi amefanya maamuzi hayo baada ya kufika katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kumjulia hali binti huyo pamoja na mtoto.
‘YEEBABA’ NI YETU MANDOJO NA DOMOKAYA SIO YA ALIKIBA HAJATUOMBA