Leo August 4, 2018 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amesema akiwa njiani kueleka kwenye msiba amepita katika Kituo cha Afya cha Magugu nakumsalimia Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamis Kigwangalla nakusema anaendelea vizuri na ameongea nae.
BREAKING: Waziri Kigwangalla apata ajali, ‘Mwandishi wake afariki’
Maziwa ya Soya yanavyozuia Kansa, Presha, Kisukari na magonjwa mengine
LIVE MAGAZETI: Kauli ya JPM yamvuruga Makonda, Jokate akabidhiwa mzigo wa majukumu