June 8 2016 Waziri wa fedha na mipango kupitia kwa Waziri wake Philip Mpango imewasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017.
Nimekusogezea kipande cha video cha dakika 2 cha mapokezi wakati Waziri mpango akiwasili bungeni kwa ajili ya kuanza kuisoma bajeti hiyo.
ULIIKOSA HII? TRILION 11.8 ZIMETNGWA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO, VIPAUMBELE VIMETAJWA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE