Mix

BREAKING: Spika wa Bunge ameagiza Polisi kumkamata Mbunge Halima Mdee

on

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumfikisha Bungeni Mbunge wa Kawe (CHADEMA) Halima Mdee kujibu tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Spika wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki uliofanyika April 4, 2017.

Taarifa zaidi itakujia baadae…

Ulipitwa? Kipindi cha maswali na majibu Bungeni April 06 2017, Bonyeza play hapa chini kuitazama

 

 

Tupia Comments