Mwimbaji wa bongofleva mmiliki wa hit single ‘mahaba niue‘, Maua katuletea hii single yake mpya iitwayo Sisikii.
Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya kisha usisahu kuandika maoni yako ili akipita aone watu wake mlichokiandika
ULIIKOSA HII YA MAUA SAMA AKIWA KWENYE STUDIO ZA MILLARD AYO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE