Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.
Sasa Habari njema ninayotaka kukusogezea ni kwamba Wakali kutokea nchini humo waitwao Mellow na Sleazy wanatarajiwa kutoa burudani Dar es Salaam.
Wakali hao watainogesha Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam usiku wa leo Jumamosi 29, 2022.
Tazama hapa ushuhudie balaa lao wakitoa burudani zao walizowahi kurekodi na wasanii tofauti na nyinginezo kali.
Mellow & Sleazy Exclusive Amapiano Mix mixed by EVO