Meya Jiji la DSM Isaya Mwita amejikuta katika wakati mgumu baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na Halmashauri hiyo muda mchache baada ya uamuzi wa mkutano Mkuu kutoa uamuzi dhidi ya tuhuma dhidi yake.
Akiongea nje ya ukumbi Mwita amesema yeye hatambui uamuzi huo na anasubiri hukumu ya Mahakama.
VURUGU ZAIBUKA MADIWANI WAKITAKA KUMUONDOA MEYA WA CHADEMA “KUBENEA NYAMAZA, TUANZE KUUMIZANA”