Sehemu ya bweni la Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe Mkoani Tanga, limeteketea kwa moto October 16 majira ya saa moja na dakika arobaini na kusababisha uharibifu wa vifaa vya Wanafunzi wa Kidato cha kwanza na cha tatu vyenye thamani ya Shilingi Milioni 14 vikiwemo vitanda 38, magodoro 38 pamoja na masanduku ya nguo.
MOTO WA NDALICHAKO KWA FUNDI WA MADARASA ”UNALALA MPAKA SAA TATU, HUTUFAI WEWE”