Mzee Meshuko Laibon ambaye ana Wake nane pamoja na kuwajengea Watoto wake Shule kutokana na kuwa na idadi kubwa ya Watoto ametangaza kutoacha uganga kama ilivyoripotiwa na baadhi ya Vyombo ya habari nakusema ameupata uganga huo kwa kurisishwa kutoka kwa Babu zake.
Laibon anasema amejipanga kujenga Kanisa watakalosali ndugu zake pamoja na Wanae kutokana nakuwa na familia ya watu wasiopungua mia nne.