Leo April 16, 2019 Kutoka Jiji la DSM tunayo story inayohusu mti ulioitwa wa ‘maajabu’ ulioripotiwa kuua paka wa mganga na kumpiga shoti Mchina na Mganga wakati walipokuwa wakijaribu kuukata lakini walishindwa, hata hivyo mti huo umedondoshwa na radi na kuleta uharibifu kwa wakazi waliokuwa wakiishi jirani na mti huo upo Oysterbay DSM.
MWANZO MWISHO VILIO VYATAWALA MAZISHI YA MTOTO ALIYETEKWA NA KUNYONGWA MBEYA