AyoTV

FULL VIDEO: Kutoka Mahakama Kuu, Freeman Mbowe asikamatwe

on

Ni kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe leo Mahakama kuu kufuatia kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Sirro na ZCO Wambura kwenye sakata la tuhuma za dawa za kulevya.

Mahakama kuu leo imetoa maamuzi ambayo Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu ameyasema yote kwenye hii video hapa chini.

VIDEO: Unapotangaza Mtu aje Polisi saa 5 wewe ni nani? – Freeman Mbowe, full video tazama hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments