Leo December 14, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kisa Kasongwa amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Magunga na kukuta baadhi ya maagizo aliyoyatoa hayajafanyiwa kazi.
Moja ya agizo lililotolewa ni kubandika karatasi ya Dawa zilizopo hospitali hapo ili kila Mgonjwa ajue dawa ambazo zipo na anazotakiwa kwenda kununua ili kuepusha malalamiko yanayojitokeza.
WAZIRI LUGOLA AGEUKIA MAKANISA NA MISIKITI “MTAPATA CHA MTEMA KUNI”