Mohamed Olotu ambaye alikutana na Mchumba wake Mahakamani baada ya wote kufungwa kimakosa, ametangaza tarehe ya wawili hao kufunga ndoa ambapo amesema pamoja na mambo mengine endapo atajitokeza Mtu wa kumsupport itakuwa vizuri zaidi.
“Rais Magufuli baada ya kuona mahojiano yangu ya kufungwa kimakosa aliniita DSM, nilikatiwa hadi tiketi ya ndege”