Burudani

Mshindi wa Miss Lake Zone, alivyochagua gari lililochambwa mitandaoni.

on

Mashindano ya kumpata mrembo wa Miss Lake Zone 2018, yamefanyika usiku August 4,2018 Rock City Mall, ambapo mrembo Sharoon Headlam amekuwa mshindi ambaye ataiwakilisha Mwanza kwenye Mashindano ya Miss Tanzania 2018. 

Kitu ambacho akikutegemewa ni Sharoon kuchagua gari ambalo lilisemwa sana Mitandaoni hadi waandaaji wa Miss Tanzania wakasema libadilishwe na likawekwa lingine lakini hakulichagua hilo jipya ila alichagua lile la awali.

TOP 8: MATUKIO MAKUBWA YA KUKUMBUKWA UAPISHWAJI WA MHESHIMIWA JOKATE

Soma na hizi

Tupia Comments