Kamanda Mambosasa amesema aliewaleta watu waliohusika kumteka Mfanyabiashara Mo Dewji alipata cha juu Dola 200 kutokana na yeye kuwawezesha watu hao kupata nyumba ambayo walifanyia tukio hilo.
Kamanda amesema walijitambulisha kama wafanyabiashara wanaotoka nchini Afrika Kusini na nyumba hiyo ni mali ya Marehemu Mwansasu lakini kwa sasa ipo chini za Binti zake.
Mambosasa ameonyesha chumba alicholazwa MO Dewji kipindi katekwa