Hii ni kutoka Ngarenaro kwa kina Dogo Janja ambapo leo January 3, 2019 nakukutanisha na jamaa anaefahamika sana Arusha anaitwa Twanga ambaye ana uwezo wa kula wali Kilo 2, Chapati 30 lakini pia anakunywa Lita moja ya chai.
AyoTV na millardayo.com imekutana nae ambapo amefunguka mengi ikwepo hali ya familia yaona kazi anayofanya. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akila wali Kilo 2.
DULLA MAKABILA AFUNGUKA ALICHOAMBIWA NA MSTAAFU KIKWETE