Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Kutana na Rubani aliyeingia kwenye Bongofleva, kaongea kufanya kazi na Akon

on

AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na Rubani anayefahamika kwa jina la DanZak ambaye ameendesha ndege kwa miaka tisa lakini sasa ameamua kufanya muziki wa Bongofleva akiwa na lengo la kuwekeza ili baadae ajipatie kipato kupitia muziki wakati huo kwenye urubani alikuwa akilipwa zaidi ya million 5.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

VIDEO: HAMISA ALIVYOIMBA LIVE WIMBO WAKE MWANZO MWISHO MAUNO KAMA YOTE

Soma na hizi

Tupia Comments