Burudani

“Ni heri nife kuliko nikose sehemu za SIRI” Dogo Janja

on

Vunjika mbavu na hii kutoka kwa Zuch Zuchero ambaye time hii amekutana na msanii kutokea kwenye Bongo Fleva Dogo Janja, ambaye amempa Zuch jibu itakuwaje akiamka halafu hazikose sehemu zake za siri mbali na Dogo Janja wananchi wa Kinyerezi na Segerea wamelijibu swali hilo….Bonyeza PLAY kusikiliza walichoongelea uvunjike mbavu.

Zuch Zuchero safari hii kakutana na Barnaba …..hahahah !!!

Soma na hizi

Tupia Comments