Leo August 23, 2018 Kutoka Mkoani Manyara tumempata Mama aliyesababisha Mume aliyechepuka katika ndoa yake kugandiana Mwanamke akifanya mapenzi kwa muda wa Saa mbili.
Mama huyo ameieleza Ayo TV na Millardayo.com kuwa ni kweli alifanya hivyo baada ya kuletewa malalamiko na Mke wa Mwanaume huyo.