Muda huu kutoka Ikulu DSM AyoTV inakuletea LIVE dhifa maalum iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr. John Magufuli kwa ajili ya washiriki wa Mkutano Shirikishi wa Vyama vya Siasa. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE