Leo June 17, 2018 muda huu Ofisi ya Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete inaungua moto muda huu na jitihada za kuuzima zinaendelea.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shanna amesema “Kuna Mwanamke kichaa alikuwa na moto nje ya ofisi, upepo ulipokuja ulisukuma moto ukashika jengo ila kwa sasa Polisi kwa kushirikiana na Wananchi wanauzima moto nitatoa taarifa rasmi, bado sijawasiliana na Mbunge”
Ofisi ya Mbunge wa Chalinze, Ridhiwan Kikwete iliyopo Chalinze, inaungua moto muda huu na jitihada za kuuzima zinaendelea.
RPC Pwani amethibitisha amesema “Kuna Mwanamke kichaa alikuwa na moto nje ya ofisi, upepo ulipokuja ulisukuma moto ukashika jengo” #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/eM7Fy2Ummd
— millardayo (@millardayo_) June 17, 2018
Good news: Hiki hapa Kivuko kipya Mwanza, Tazama kilivyoshushwa majini