Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO Mkoani Kigoma limewatembelea Vijana wawili Wajasiriamali wanaotengeneza majiko ya kupikia ambayo hutumia matofali na chenga za mkaa kupikia katika Kijiji cha Mgaraganza Kata ya Kagongo Wilaya Kigoma na kuahidi kuwaendeleza katika Teknolojia hiyo.
Meneja wa SIDO Mkoani Kigoma Gervas Ntahamba ambaye amefika nyumbani kwa Wajasiriamli hao na kuona namna ambavyo Vijana hao hutengeneza majiko hayo.
“JAMBAZI TUTAENDA NAE KIJAMBANZI, UGOMVI WETU NI KWA WANAOTUFANYIA NDIVYO SIVYO” RC KIGOMA