January 16, 2019 Asia Patrick alizaliwa akiwa na viungo vyake vyote vya mwili lakini baada ya kupata ujauzito na kutoka ikawa sababu ya kukatwa miguu yake yote, vidole tisa vya mikono yake pamoja na kutolewa kizazi.
AyoTV na millardayo.com imezungumza na Asia Patrick mwenye miaka 18, kwa sasa na ameeleza aliyoyapitia hadi kufikia kukatwa miguu yake.
JAMAA WA ARUSHA ANADAI KAVAA NGUO YA MILIONI 1.5, ANAIMBA LUGHA 18