Mix

VIDEO: Ukali wa Mwijaku kwa wanaolalamika January ngumu kifedha kawataja na mifano

on

Msanii wa maigizo nchini Mwijaku amewafungukia wale wote wanao lalamikia January kwa kusema ni ngumu kifedha ambapo amedai kuwa watu wa aina hiyo wamekuwa hawajipangi na huwa wanafanya matumizi yasiyo na msingi hasa mwezi December na kutaja mifano ya watu hao.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza MWIJAKU.

VIDEO: Hii ndio 10 Years Challenge ya mastaa wa Bongo

Soma na hizi

Tupia Comments